Zaburi 98:1-8 ONEN - Bible AI

1Mwimbieni Bwana* wimbo mpya,

2Bwana* ameufanya wokovu wake ujulikane

3Ameukumbuka upendo wake

4Mpigieni Bwana* kelele za shangwe, dunia yote,

5mwimbieni Bwana* kwa kinubi,

6kwa tarumbeta na mvumo wa baragumu za pembe za kondoo dume:

7Bahari na ivume na kila kiliomo ndani yake,

8Mito na ipige makofi,