Zekaria 9:1-16 ONEN - Bible AI

1Neno:

2pia juu ya Hamathi inayopakana nayo,

3Tiro amejijengea ngome imara,

4Lakini Bwana atamwondolea mali zake

5Ashkeloni ataona hili na kuogopa;

6Wageni watakalia mji wa Ashdodi,

7Nitaondoa damu vinywani mwao,

8Lakini nitailinda nyumba yangu

9Shangilia sana, ee Binti Sayuni!

10Nitaondoa magari ya vita kutoka Efraimu

11Kwako wewe, kwa sababu ya damu ya Agano langu nawe,

12Rudieni ngome yenu, enyi wafungwa wa tumaini;

13Nitampinda Yuda kama nipindavyo upinde wangu,

14Kisha Bwana* atawatokea;

15na Bwana* Mwenye Nguvu Zote atawalinda.

16Bwana* Mungu wao atawaokoa siku hiyo

>